Tunawasaidia wazazi na walezi, vijana, na walimu nchini Tanzania wa kuwapa taarifa za vitendo na zinazolingana na mazingira yao, ili kuwasaidia kuelewa hatari za mtandaoni, kufanya maamuzi sahihi na kubofya kwa busara, pamoja na kuwalinda vijana mtandaoni na nje ya mtandao.