Msaada Unapatikana!

Ikiwa wewe au kijana unayemfahamu amekumbwa na unyanyasaji wa kingono mtandaoni, kurubuniwa mtandaoni, au aina yoyote ya madhara mtandaoni…

Msaada kwa Watoto Tanzania.

Unahitaji Msaada?

Iwe mtu anakunyanyasa, anakuomba picha za faragha, anakutishia, anakutapeli, au anakufanya ujisikie vibaya...

Unaweza kuwasiliana na National Child Helpline Tanzania, huduma ya bure na ya siri inayowasaidia watoto na vijana.

Kumbuka: Msaada unapatikana, na kusema unachopitia ni ishara ya ujasiri.

Ikiwa suala lako si la dharura, angalia nyenzo zetu za elimu!

Unahitaji Msaada?

Iwe mtu anakunyanyasa, anakuomba picha za faragha, anakutishia, anakutapeli, au anakufanya ujisikie vibaya…

Bofya hapa kupata msaada.