Jifunze jinsi ya kuwa salama mtandaoni kama kijana.

Unyanyasaji wa Kingono kwa Vitisho

Unyanyasaji wa kingono kwa vitisho ni mojawapo ya madhara makubwa zaidi mtandaoni — na vijana wengi hawatambui kinachoendelea hadi wanapojikuta tayari wamenaswa.

Mahusiano ya Kimaslahi

Mtu mmoja anapodhibiti pesa, zawadi, au rasilimali, pia anakuwa na nguvu na mamlaka katika uhusiano.

Ponografia

Many teens have already seen pornography — sometimes by accident, sometimes through friends, or sometimes out of curiosity.

Ulaghai na Usafirishaji Haramu

Mitandao ya kijamii hurahisisha kukutana na watu wapya na kusikia kuhusu fursa zinazoonekana kuvutia au zinazoweza kubadilisha maisha.

Kamari

Simu na mitandao ya kijamii hufanya ionekane kama kuna njia za haraka za kupata pesa, hasa kupitia kubeti na kamari.

wildaf-safeguard
video-shape-2
video-shape-4
video-shape-5
video-shape-6

Washawishi
wanasemaje kuhusu usalama mtandaoni?

Tazama Sasa
Screenshot 2026-05-21 at 17.23.18
program-bg-shape

Jifunze jinsi ya kutumia programu kwa usalama

Baadhi ya mambo ni MAZITO zaidi.

Ikiwa wewe au kijana unayemfahamu yuko hatarini…

Unahitaji Msaada?

Iwe mtu anakunyanyasa, anakuomba picha za faragha, anakutishia, anakutapeli, au anakufanya ujisikie vibaya…

Bofya hapa kupata msaada.