Dhamira yetu

Tunawasaidia wazazi na walezi, vijana, na walimu nchini Tanzania wa kuwapa taarifa za vitendo na zinazolingana na mazingira yao, ili kuwasaidia kuelewa hatari za mtandaoni, kufanya maamuzi sahihi na kubofya kwa busara, pamoja na kuwalinda vijana mtandaoni na nje ya mtandao.
Majukumu

Bofya hapa chini kujifunza zaidi
kuhusu jukumu lako kama...

Kijana

Bofya hapa ikiwa wewe au kijana unayemfahamu yuko hatarini…

Mwalimu

Fahamu cha kufanya ikiwa mwanafunzi atakuomba msaada.

Mzazi/Mlezi

Kuelewa Hatari za Mtandaoni na Jinsi ya Kuzungumza na Mtoto Wako

Unahitaji Msaada?

Iwe mtu anakunyanyasa, anakuomba picha za faragha, anakutishia, anakutapeli, au anakufanya ujisikie vibaya…

Bofya hapa kupata msaada.